Saturday, 29 October 2016

“Publicity Stunts are not in my Menu”- Ali Kiba


Many celebrities today use publicity stunts to push their work out there. It has become a common trend even to gospel artists. Celebs feel like no stunt is bad publicity and so they would do just about anything for publicity. However, Tanzanian heartthrob Ali Kiba has distanced himself from this behavior. The Aje hit maker has just revealed that he dislikes publicity stunts and would never get himself involved in anyway.
Speaking during an interview with Tanzania’s cloud TV, the singer said that publicity stunts are not in his menu. He also said that he does not know how to brag about his wealth like most Tanzanian artists do.
Image result for ali kiba images 2016
Kwanza kwangu mimi hicho kitu hakipo, sijui kusema mimi nina hela. Na kuna watu wengine wanaongopa kwa kusema uongo tu kwasababu watanzania tumeshakubali kupelekwa na hiyo.
Lakini kuna baadhi pia ya watanzania wapo makini sana, huwa hawakubali kitu kirahisi na kuna wengine ni wepesi sana kuamini. Na hizi kiki zinakuja kwasababu watu wanaamini. Mimi binafsi sitaki kabisa hivyo vitu na sitokuja kufanya na kama kuna watu wanafanya hivyo vitu mimo nimewaambia unajua kila mtu ana identity yake kwamba hawa ni watu wa aina hii na hawa ni hii.
Ukiongea kitu mtu mwenye akili zake timamu anajua kabisa hii si kweli na Alikiba hawezi kufanya hivyo. Ila huyu anaweza kufanya hivyo na huyu hawezi kufanya hivyo ila Alikiba anaweza fanya hivyo,” He said

Do you have anything to add or comment about this article? Let us know below.

No comments:

Post a Comment